Posted On: November 27th 2023, 07:09 am
Ninamshukuru Mungu ,
kwa kupokea Tuzo ya TECHNOLOGY (IT) 2023/24 katika mashindano ya Young CEO Africa yaliyofanyika Tarehe 25.11.2023 Mlimani city Dar es salaam, Tanzania
Ukurasa huu wa
@digital_tanzania Ndio Ninaotumia kwaajili ya kupost baadhi ya kazi zangu machache sana kuliko kazi ninazofanya ni nyingi katika majukum yangu ya kazi Teknolojia (Utandawazi)
Napenda kuwashukuru Ndugu zangu & Familia waliungana nami kuhudhuria Tuzo pamoja na wote mlifanikisha kunipigia kura.
Load More