Instagram story viewer> @araiatz> Post
3 years ago
Kwanini tunakushauri Uwekeze kwenye mashine ya Kusaga? Kuna mfanyabiashara mmoja katika maongezi yetu aliwahi kuniambia jambo moja ambalo lilinifikirisha sana Akili yangu. Alisema katika hii Dunia ukitaka kufanikiwa wewe  wekeza kwenye biashara ambayo sio kila mtu anaweza kuifanya tengeneza gape ili muwe wachache kwenye hiyo biashara ,kwasababu sio kila mtu akiamka tu ataweza kuifanya kwasababu ana mtaji kama biashara nyingine.itamuhitaji apasuke mfuko kidogo kuweza  kumudu kuwekeza. Tuje kwenye swali la msingi kwanini Uwekeze kwenye biashara hii Ya mashine ya Kusaga.

INAGUSA MAISHA YA WATU KILA SIKU
Uhai wa Binadamu unategemea kula bila kula hakuna maisha, asilimia kubwa ya matumizi yetu yanaenda kwenye chakula kila siku. Kwenye mashine ya kusaga ndipo kunapozalishwa Unga wa sembe au Dona kwa ajili ya Ugali ambacho ni moja ya chakula kikuu katika nchi yetu. Ukiwekeza kwenye biashara hii ya mashine za kukoboa & Kusaga jua unaenda kugusa maisha ya watu moja kwa moja. 

UNAGUSA MAISHA YA MIFUGO PIA
Uzoefu wangu katika uwekezaji wa kwenye biashara ya kusaga ni kwamba sio tu utagusa maisha ya Binadamu tu, MIFUGO Inategemea chakula kutoka kutoka mashine ambazo ni Pumba. Kwa wafugaji wanajua ugumu wa upatikanaji wa Pumba. Ukiwekeza kwenye mashine ya kukoboa na kusaga jua unagusa moja kwa moja maisha ya MIFUGO. Hii  ni biashara ambayo Binadamu na MIFUGO wanaitegemea.

Itaendelea.........
2
Posted On: January 17th 2024, 05:59 am

Comments (2)
samai_machinery 3 years ago

samai_machinery

PAMOJA TUJENGE VIWANDA VYETU 🇹🇿

More posts

back to up