Posted On: September 11th 2021, 05:35 pm
Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Tabora kimemteua Ndg USAMBILE LUKRESHA KAMUGA Atakae peperusha Bendera ya CCM kugombea nasafi ya udiwani kata ya vumilia.akizungumza mala baada ya kikao katibu wa siasa na uenezi ccm mkoa wa tabora ndg Majaliwa Bilali amesema CCM imejipanga kushinda kwa sasa tunaenda kuwaeleza wananchi kwa kipindi kifupi tuliyofanya ndani ya kata ya Vumilia..UCHAGUZI MDOGO UNAFANYIKA MALA BAADA YA DIWALI ALIECHAGULIWA KUFALIKI..Tembenea
#ccmtaboraonlietv kwa habari zaidi