We nae uoe sasa kabla sijaanza campaign yangu
Mwanangu mchicha umestawi @agustotraveller
Na ile picha nyingine ile ..... ndio ile yeah ile anyway Picha kali mwanangu
coach mtoto @agustotraveller 👏👏🔥
Na ishu ni angle
Tuuzie hata cover za simu basiii🤣🤣🤣🤣
Kaka kuna frame ipo makumbusho pale🤣🤣🤣
🔥
Dah chicha midevu
Kaka bado kufungua duka la simu tu Makumbusho ndg yangu 😂
Muda wa kula daku jana ulisogezwa mbele kutokana na sababu ambazo ziko nje ya uwezo wetu hivyo tungependa kuwapa taarifaa baada ya muda mfupi ujao Asante😂😂😂 @agustotraveller