Posted On: October 29th 2023, 09:37 am
Usiku wa juzi nilifurahi kushiriki majadiliano kama ni sawa au si sawa kwa vijana kuanzia umri balehe kupatiwa dawa za kisasa kuzuia mimba isiyo tarajiwa. Maoni yangu yamejikita katika kufwata ushauri wa tafiti za kisayansi pamoja na umuhimu wa dawa hizi katika kuleta matokeo chanya.
Haya ni maoni yangu!Endapo tutaongeza upatikanaji wa taarifa sahihi na huduma rafiki za afya ya uzazi na uzazi wa mpango, tutakuwa na jamii yenye afya imara. Nitafurahi kujifunza maoni zaidi.
Shukrani za dhati kwa
@bbcswahili na mtangazaji mahiri
@elizabethkazibure kwa mdahalo mzuri.
#bbc
#bbcswahili #uzaziwampango #familyplanning @youngandalivetz Load More