Instagram story viewer> @john_mathias33> Post
2 years ago
14
Posted On: February 28th 2025, 06:43 pm
Inaelezwa kuwa Uwekezaji wa Serikali katika sekta ya Elimu na hasa sera mpya ya Elimu inayoruhusu kutoa elimu Nyumbani na elimu Jumuishi kwa watoto wenye Magonjwa adimu Walimu kuwafuata na kuwafundisha Nyumbani utakuwa mkombozi na kutimiza Ndoto za watoto hao.

Dunia ikiadhimisha siku ya Magonjwa Adimu Mzazi wa ALI KIMARA Mtoto mwenye Ugonjwa adimu ambae ameandikishwa shule ya Msingi Diamond Dar es salaam anasema Serikali imempangia Mwalimu anayemfundisha mwanae kila siku Nyumbani.
Comments (14)
shabani_ajali 2 months ago

shabani_ajali

🔥🔥🔥🔥🔥

ja.ckline5139 2 years ago

ja.ckline5139

👏👏

idrisa_abbakar 2 years ago

idrisa_abbakar

Dawa 🔥🔥🔥

mama_lilyangel 2 years ago

mama_lilyangel

Wonderful

fsorran 2 years ago

fsorran

I'm very proud of you.👏

fsorran 2 years ago

fsorran

Wow Mashallah Ali the sky is the limit

john_mathias33 2 years ago

john_mathias33

@ali.kimara 👏👏

More posts

back to up