Instagram story viewer> @mnautuke_jr> Post
a year ago
Photo by Raheem Mohamedi on May 07, 2025.
Photo by Raheem Mohamedi on May 07, 2025.
Photo by Raheem Mohamedi on May 07, 2025.
Photo by Raheem Mohamedi on May 07, 2025.
2
Posted On: May 7th 2025, 06:32 pm
Nimefurahi kukutana Mkurugenzi Wa Nanauka Foundation Na Top Team Academy @joelnanauka_ Mhamasishaji Maarufu, Mwandishi wa vitabu , na Msomi Aliyebobea Katika Masuala Ya Maendeleo Na Diplomasia Ya uchumi,

Anajulikana Kwa Kazi Yake Ya Utoaji Mafunzo Ya Uongozi, Mara Nyingi Akitoa Hotuba Na Semina Za Kuhamasisha Watu Binafsi Na Mashirika Kufikia Malengo Yao,
Mzungumzaji Maarufu Kwenye Matukio, Akishiriki Maarifa Kuhusu Mada Kama Vile Mafanikio, Uongozi, Na Ukuaji Binafsi.
Comments (2)
shahmshamu a year ago

shahmshamu

Mwambie wanamtwara Tuna wish awe muwakilishi wetu ifikapo October Inshaallah

More posts

back to up