Instagram story viewer> @leadforchangeorg_> Post
a year ago
0
Posted On: June 4th 2025, 03:24 pm
shirika la Lead For Change leo tarehe 4 Juni 2025 tumepata heshima kubwa ya kuwadirect wanafunzi wa kidato cha tano kupanga, kuunda na kuweka mpango mkakati wa utekelezaji wa project zao zitakazochangia katika masomo yao ikiwa ni sehemu ya kutekeleza mtaala mpya wa elimu kwa vitendo unaoendeshwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Sekta ya Elimu, ambapo Project watakazo zifanya zitazingatia sekta ya afya (Hedhi Salama) na Mazingira (Kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi na udhibiti wa taka za chakula.

Endelea kuungana nasi tunapokwenda kuimplement project hizi ambazo zitafanyika kwa kuzingatia afya, elimu, uchumi, mazingira, na utamaduni.

Hatua hizi zinalenga kuwaandaa wanafunzi kuwa watu wenye mchango katika jamii, kuwajengea uwezo wa kujiajili kupitia changamoto zilizopo katika jamii zetu.

#SDGs @l4c #SustainabilityActions
#Climateaction #MHM

More posts

back to up