a year agoKoi fish wamekua wakifugwa zaid kwa ajiri ya mapambo, japokua anafaa kuliwa 'carp' samaki wamaji baridi ambapo koi fish wanakua selective breeded kupata rangi zao zinavyoo vutia ndio thaman yao Kuna badhi ya rangi wanakua na bei kubwa na hao Japanese (56-66 cm) au above 1.2 meter na kilo wanaweza kufika mpka 40kg bei INAWEZA fika mpka 'JUMBO KOI FISH' 10 m- 123 mil Tsh. Utaweza kula hiyoo pesa
a year agombona watu wanasema hawaliwi hao samaki? ona walivyo wazuri ,me sifugi mboga ,wakubwa hivyo daah imagine mvua inanyesha kubwa na mboga hamna ndani
