Elimu ya utalii na uhifadhi ikiendelea kuwafikia vijana mashuleni. 🌿📚 Leo THTA_Tanzania tumetembelea shule ya sekondari kihonda iliyopo manispaa ya Morogoro Mjini, tukiwajengea wanafunzi msingi wa kupenda, kulinda, kuthamini na kutangaza urithi wa Tanzania. Tunakuza kizazi kinachojali mazingira na maendeleo ya utalii endelevu. 🇹🇿✨ #THTA#UhifadhiKwanza#UtaliiNaElimu#VijanaNaMazingira#TanzaniaYetu#WizaraYaMaliasiliNaUtalii#Tawa