Instagram story viewer> @miss_wanda_gordon> Post
a year ago
Co Creator: wandatalksmoney
24
Posted On: September 26th 2025, 01:24 pm
Tagged Users:
Kabla hujawekeza kwenye Soko la Hisa, zijue sifa za kampuni unayotaka kuwekeza nayo kwa kuzingatia Vigezo nilivyoelezea kwenye hii video.

Swala la Uwekezaji katika Hisa linahitaji uelewa wa hali ya juu kabla ya kuanza uwekezaji. Ukiingia kichwa kichwa utajilaumu au utaishia kulaumu watu. 📌

Ndio maana huwa nasisitiza watu kupata elimu kutoka kwa stock brokers (dalali wa Hisa) au muelimishaji unaemuamini kabla ya kuwekeza katika soko la Hisa.

Hızı ni baadhi tu ya factors za kuzingatia kabla hujawekeza katika soko la Hisa za kampuni unayopendelea.

Usinunue hisa kwa kufata upepo 📌 Ijue kampuni au taasisi unayotaka kununua hisa zake kiundani kwa kuzingatia Vigezo nilivyoelezea kwenye hii

Hivi ni baadhi tu na vinaweza kukupa mwangaza mzuri kuhusu hisa kabla hujaanza uwekezaji.

#fyp #explore #explorepage✨ #viral #instagramreels #viralreels #trending #explorepage #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #trendingreels
Comments (24)
maria_mwalukasa a year ago

maria_mwalukasa

@nuru.mwalukasa

miss_wanda_gordon a year ago

miss_wanda_gordon

Hello @lucianamoyo_tz tazama hii video pia

malishaseni a year ago

malishaseni

On point🙌

ngichunguria a year ago

ngichunguria

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥nashukuru kwa elimu hii nzuri ila hivi nikitaka msaada wako binafsi una hiyo huduma

t_blazzeq a year ago

t_blazzeq

Sasa baada ya kufahamu Hizi ndo unaenda kaa kuchimba kwenye kampuni unazotaka wekeza🙌🙌

t_blazzeq a year ago

t_blazzeq

Imenibidi nichukue notebook Nitake notes mana hii bila kuisoma na kuifatilia daily sitoboi aki🙌🙌🙌

vj_kupungua a year ago

vj_kupungua

Doh ahsante mno dear

eam_6476 a year ago

eam_6476

This is very helpful kwenye Investment knowledge and is to be considered. Asante sana👏👏👏

nashony_van_doshi a year ago

nashony_van_doshi

Elimu sahihi kwa wakati sahihi. 🔥🙌

royal_keys_realestate a year ago

royal_keys_realestate

Uta nipa elimu hii kwa uzuri

sam.mzinder a year ago
chelangwaalfred a year ago

chelangwaalfred

Asante sana nimekua nikiisoma tu but siwezi kuelezea

More posts

back to up