a year agoWow! Professor na Ms. Ameir mlikuwa ndoto zangu kubwa kwa ajili ya elimu. Ninaiamini sana timu yenu. Mmekuwa mkitenda na mnatenda vyema. Mungu awabariki.
a year agoUHAMISHO WA WATUMISHI HILO MLIFANYIE KAZI MAPEMA UHAMISHO UMEKUWA MGUMU SASA HIVI
a year agoUsaili ufanyika kwa intake ya mwaka wa kuhitimu na sio kuchanganya wote favorite kwa wahitimu wa miaka ya karibuni
a year agoHivi kwa mtoto ambaye uwezo wake bado mdogo wa kuanza darasa la kwanza na ana miaka 7 inakuwaje
