Instagram story viewer> @genzwatz> Post
a year ago
Co Creator: rights_plug_backup legal_hacker_tz
1
Posted On: December 9th 2025, 03:43 pm
Hatununui uoga hata iweje #GenZArusha
#leo #tanzania
Comments (1)
officialy_am_ekm a year ago

officialy_am_ekm

@larrymadowo Hivi ndivyo walivyokuwa wametanda Leo na barabarani walikuwa wametapakaa kama vumbi kila kona ya barabara alfu wanariport hali ni shwari usalama uko vizuri....hivi ndivyo serikali inavyo zidi kutumia nguvu na kuto ruhusu Uhuru wa wananchi kujielezea...eti kila kilichoendelea Leo husema ni AI

More posts

back to up