Instagram story viewer> @tengeruinstitute> Post
9 months ago
0
Posted On: January 27th 2026, 02:21 pm
Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Januari 27, 2026, Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeadhimisha siku hii muhimu kwa kupanda miti mia moja huku ikilenga kupanda jumla ya miti mia tano mpaka kufikia mwishoni mwa wiki hii ambapo zoezi hilo limeongozwa na Dkt.Bakari George, Mkuu wa Chuo aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa chuo, watumishi na Wanafunzi wanaosoma chuoni hapo.

Kujua kwa ndani yaliyojiri, fuatilia makala haya.

@ikulu_mawasiliano @maelezonews @maendeleoyajamii @gersonmsigwa @bakari.george2

More posts

back to up