Posted On: February 14th 2026, 02:03 pm
Ninamshukuru Mungu Kwaajili Yenu watu wa Nguvu. kwa kufanikisha kupiga kura hadi kupokea Tuzo ya DIGITAL & TECHNOLOGY 2026 katika mashindano ya Tanzania Creator Awards yaliyofanyika Tarehe 12.02.2026 Mlimani city Dar es salaam, Tanzania
Ukurasa huu wa
@digital_tanzania ambao ndio Ninaotumia kwaajili ya kupost baadhi ya kazi zangu (machache sana) kuliko kazi ninazofanya ni nyingi ambazo sipost na kubwa katika majukum yangu ya kazi Teknolojia (Utandawazi)
Napenda kwa unyenyekevu na heshima kuwashukuru nyote Ndugu zangu , Jamaa & Familia waliungana nami kuhudhuria Tuzo pamoja na wote mlifanikisha kunipigia kura
Mungu Awabariki sana 👏
Load More