Instagram story viewer> @tbc2online> Post
8 months ago
Co Creator: adasco_m2_mbad sleezyhitmaker_
7
Posted On: March 4th 2026, 05:15 pm
Mtayarishaji wa muziki wa Singeli kutoka #AMM @adasco_m2_mbad azungumza juu ya wanamuziki wa kike ambavyo hujirahisha katika kutengeneza kazi zao,

Huku akimpongeza @tiffah_devoice kati yao ndiye anayejitambua, @stizo_tz amtaja @imoofficial_tz kuwa katika wakali nae yupo kwa wasanii wakike wa Singeli. #JukuuLaKinjikitileMpwaLaMazengo kwenye kipaza muite Tandu @sleezyhitmaker_ dereva wa Kijiwe Namba.

#2DIGITAL
#KijiweNamba
#TBC2Updates
TBC2Yakijanjazaidi
Comments (7)
kadilida7 8 months ago

kadilida7

Brother @stizo_tz ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

singelimedia 8 months ago

singelimedia

Nzuri hii @sleezyhitmaker_ ๐Ÿ‘

barakachaplin 8 months ago

barakachaplin

hii lini hii

ommy_pasword 8 months ago

ommy_pasword

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

sammydonnar_ 8 months ago

sammydonnar_

Fact kaka ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ@adasco_m2_mbad

khaleed5834 8 months ago

khaleed5834

Wasanii wakike wote wanajua ila mungu ana wakati wake alitamba anty dont akapotea akaja kadilidamc akaja ant vailas akaja imoh akaja prences hb malkia wa singeli mimah kumbumbuka tulikuwa na #mimanta_og wakati huu ni wakati wa @tiffah_devoice na mama amina

khaleed5834 8 months ago

khaleed5834

Wasanii wa kike 70% hawana manegerment ndomana vitu vingi vinavyowatokewa ๐Ÿ˜‚

More posts

back to up