Instagram story viewer> @waters_buildingtz> Post
7 months ago
2
Posted On: March 25th 2026, 11:29 am
💧 UNAHITAJI KISIMA CHA MAJI? SISI NDIO SULUHISHO LAKO! 💧

Tunachimba visima vya maji kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu sana. Tunatumia vifaa vya kisasa kuhakikisha unapata maji ya uhakika kwa matumizi ya nyumbani, shamba au biashara.

✔️ Uchimbaji wa visima virefu na vifupi
✔️ Ufungaji wa pampu za maji
✔️ Huduma za ushauri na ukaguzi wa eneo
✔️ Kazi ya haraka na yenye uhakika

Usisumbuke tena na tatizo la maji tupigie leo upate huduma bora na ya kuaminika!

📞 Wasiliana nasi sasa: [0759887164]
📍 Tunapatikana: [Dar es salaam ]

💦 Maji ni uhai — hakikisha unakuwa na chanzo cha kudumu l
Comments (2)
maxwelljosy 6 months ago

maxwelljosy

Kwa mita bei gani

ms_kategile 7 months ago

ms_kategile

🔥🔥🔥

More posts

back to up