Instagram story viewer> @habariclouds> Post
7 months ago
Co Creator: cloudstv
169
Posted On: April 4th 2026, 03:25 pm
Tagged Users:
Wananchi Mkoani Songwe wametakiwa kuwa mabalozi wa kutoa elimu ya kupinga na kukemea uvumi wa unaoenea ambao umeleta madhara ya kuwa mwanaume akiguswa nyeti zinapotea jambo lililosababisha mauaji ya aliyekuwa mlinzi wa Zelezeta viwandani Aron Mgogo mkazi wa Mlowo eneo la Tazara Wilayani Mbozi ambae aliuwawa kwa kupigwa na wananchi.

Majonzi haya ni matokeo ya wananchi kuendelea kujichukulia sheria mkononi na tabia hii imekuwa ikiendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali Mkoani hapa mpaka sasa idadi ya waliofariki ni watu 6 akiwemo Aron Mgogo aliuwawa na wananchi kwa kupigwa baada ya tuhuma ya kudai kumgusa mtu na sehemu zake za siri kupotea jambo limeacha kovu na maumivu katika familia hii.

#CloudsDigitalUpdates.
Comments (169)
wilfredjoseph56 7 months ago
janesongati1 7 months ago

janesongati1

😢😢😢😢jamaniiii uwiii huu uvumi utamaliza watu jamaniii🙌

karlosorden 7 months ago

karlosorden

Huyo alosema amebiwa akamatwe

kingkong_store_njombe 7 months ago

kingkong_store_njombe

NYIEE MAFALAAA ACHENIII KUUWAAA WATU WASIO NA HATIA

athumanhassan248 7 months ago
ab6495713 7 months ago

ab6495713

Mtauwana sana uko kwa ujinga wenu vichogo

sadb_nsen 7 months ago

sadb_nsen

Hii imani inatia aibu sana Taifa.

steveplatonic 7 months ago

steveplatonic

Huu ni fact au opinion?

ocar1122 7 months ago

ocar1122

Yaan nyti sion alf nkuache ahaaa we nakata na yako

naa2048 7 months ago

naa2048

Mungu atusaidie

claramori99 7 months ago

claramori99

Ila ujinga wa sisi waafrica sijui utaisha lini

Load More

More posts

back to up