Posted On: April 29th 2026, 02:55 pm
29 April… a verry special day for me🥹
MG CAKES imefikishaa miakaa miwil leo, kilaa nikifikiria nipotok n nilipo leo Nasema n MUNGU TU
Nilianzaa nikiw naogopaa nakuhofiaa kama nitawezaaa, ilaa angaliaa tulipoo leooo
Nilianzaa nikiwa sin kitu nafanyiaa chumba kimojaa hapohapo nalalaa hapo hapo napikiaa cakee ilaa itoshe kusemaa MUNGU ni mkubwa sanaa
nikisemaa nashukuru namaaanisha kabisa kutokaa moyonii, ASANTEN SANA WATEJAA WANGU KWAKUNISUPPORT HAD HAPAA TULIPOFIKAA BILAA NYIE MIMI SYO KITUU
Na zaidi yaa yotee namshukuru sanaa MUNGU kwakuniweka hapa nilipo leoo
Na kunipaa nguvu yakutokukataa tamaa
kun mda nilihis kuchokaa ilaa sikukataa tamaan
Na Kwa yeyote aliepitiaa changaamoto yeyotee ofisin kwetu tunaomb radhi na karibu next timee tutafanyaa vzr zaid
This is just the beggining, 2YEARS DOWN, many moree to come👌✨