6 months agoNilikuaga sfatilii hip hop enyewe Ila huyu mwamba ah kiboko ya vigagula aloo mstari wake kama kwenye Boombap unasema "... Hatuwazi mambo yanajipa, Sio kila kazi unahtaji kulipwa kutoa saport hyo ndo hip-hop, Mamanzi wanajisnap Na maswaga ya kihiphop" no fire 🔥 🔥 🔥 🔥
