5 months agoHakuna kiwango chochote. Warudishe oesa zangu za post paid zaid ya saa 24 mmeshikilia pesa zangu
5 months agoAhsanteni sana kunisaidia kunirejeshea hela niliyotoa kimakosa kwa kuweka namba ya wakala isiyo sahihi Ila swali langu, kwanini mliporejesha hela hamkurejesha na hela mliyokata ya kutolea. Mmerejesha sawa ila kiasi ni pungufu, mmerejesha tu niliyotoa ila makato ya kutolea hamjarejesha kwanini? Niliporudisha muamala si ule wa kutoa ulibatilishwa? Kwanini bado mbaki na hiyo hela ya makato? Na kwa kurejesha muamala mmenikata takribani Tzs 100 ambayo ninakisia ni makato ya kurejesha, ambayo ni sawa kabisa. Ila hili la makato ya kutolea kutorejeshwa pia bado sijalielewa na sijaliafiki. Hebu nielewesheni tafadhali, na zaidi mrejeshe na hiyo hela ya makato.
5 months agoπ₯ Tufollow, tumepost list ya Soundbars Bora Zaidi za 2026.π΅ π§ π
