Instagram story viewer> @mx.xenon> Post
4 months ago
Co Creator: alexkibugajr
WHAT A FEELING 🦁

England tuna matatizo yetu sawa, kuna sehemu tulizinguwa kuigroup hii timu sawa(hususani kwenye flangs) ila tukilitaka jambo letu linapatikana na hapa ndipo utofauti na timu zenu ulipo 🫡

Harry Kane huyu unaweza tu kuishia kusema ndiye bora wa muda wote kwenye majukumu yake siyo dhambi wala siyo hata aibu, numbers na consistency zitakusaidia kuprove 👽

Sisi hao kwenye hatua ya 16 na mara hii anakuja Mexico sasa kuna nini tena? Baaaaasi nadhani tukutane tu robo huo mfupa wa 16 ni mlaini sana kwetu 😅

Mzee wangu @trey_formen tunashinda na kutoa darasa kwenye chama lenu la Ureno jinsi ya kucheza na timu zinazokabia chini (lowblock) 😅

FOOTBALL IS COMING HOME 26

#england #kane #goat #champions #fifa
0
Posted On: July 1st 2026, 06:42 pm
Tagged Users:

More posts

back to up