Instagram story viewer> @spotileo> Post
4 months ago
631
Posted On: July 4th 2026, 11:36 am
BAADA ya kufunga bao kali katika mchezo mgumu dhidi ya Argentina, Sidny Lopes Cabral alikimbia moja kwa moja hadi kwa mashabiki, katika jukwaa ambalo alikaa mke wake kipenzi. Alipomkuta, alimkumbatia kwa nguvu kubwa huku wote wakishindwa kuamini kilichotokea.
-
Ingawa Cape Verde walipoteza mchezo huo, tukio hilo limebaki kama moja ya kumbukumbu tamu na za kipekee kwenye Kombe la Dunia.
-
#spotileoupdates #caboverde #argentina #worldcup2026 #footballreels
Comments (631)
tc.twill a month ago

tc.twill

Kapendw zake hadharani 🥹😔

michaelchale20 a month ago

michaelchale20

Hii reaction ilinifanya nikumbuke wakat nipo kweny cricket u 20 wakat wazaz wanaona napoteza muda niliwaambia viongoz bila huyu anayesapot kuja basi siwez kucheza hiyo tournament yao

stnelson5966 a month ago

stnelson5966

Kasimame makaburininupige kelele utapendwa

miraji7450 a month ago

miraji7450

Sio uongo nikweli labda na boda au daladala njoo panda twendwe

allyngassamshilla a month ago

allyngassamshilla

🙌🙌🔥🔥

young_dream_tz a month ago
daudi.chimi a month ago

daudi.chimi

Nzuri sana kwanza ujikuta mwepesi bila hofu yoyote

wenseclemence a month ago

wenseclemence

Ukuma tyu

chengula05 a month ago

chengula05

Mimi ni Argentina fan ila hili goli nilinyoosha mikono

am_gee_t a month ago

am_gee_t

😆😆😆

othmanifatma_ a month ago

othmanifatma_

waooh so lovely❤️

african_boy_0001 a month ago
Load More

More posts

back to up