Instagram story viewer> @mamboforumz> Post
4 months ago
0
Posted On: July 6th 2026, 05:32 pm
Inaonekana kuna mzozo mkubwa wa kifedha hapa, ambapo upande mmoja unalalamika kutapeliwa, huku Snapking akijihami kuwa yuko tayari kulipa na kwamba upande wa pili hauna mkataba wa kisheria unaobana malipo hayo bali wanatafuta “kiki” na huruma ya mtandaoni. Tutaendelea kufuatilia upande wa pili kueleza kisa hiki kilitokeaje! 😉🍿

More posts

back to up