Instagram story viewer> @fred_lowassa> Post
4 months ago
Co Creator: joseph_mnembuka
Photo by Fredrick Edward Lowassa on July 09, 2026.

1
Posted On: July 9th 2026, 12:54 pm
Kipekee nipende chukua nafasi hii kuwapongeza, Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassani na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Hussein Ali Mwinyi kwa kuweza kufanikiwa kwa uwasilishaji wa Tamko la Pamoja la Muafaka wa kisiasa baina ya Chama Cha Mapinduzi na Chama cha ACT-Wazalendo

Pia Napenda kumpongeza Mzee wetu, Mwenyekiti wa Edward Lowassa Foundation, Rais Mstaafu wa Awamu ya Sita wa Zanzibar Mheshimiwa Dr Amani Abeid Karume, Baba wa Maridhiano Tanzania aliyefanikiwa kujenga Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kwa usimamizi mwema na wenye hekima katika kufanikishwa Maridhiano ndani ya Serikali ya Zanzibar kwa Chama chetu cha Mapinduzi na Chama cha ACT wazalendo.

#MonduliKwanza
Comments (1)
iam_neema01 3 months ago

iam_neema01

Watu wa Mungu Karibuni sana @cfserviam

More posts

back to up