Posted On: August 13th 2026, 06:28 am
Msanii maarufu wa R&B kutoka Marekani,
@treysongz, ametua nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo na kupokelewa na msanii wa Tanzania, Diamond Platnumz.
Trey Songz yupo nchini kwa ajili ya kutoa burudani katika Tamasha la Imbeju Sauti Moja, linalotarajiwa kufanyika Ijumaa, Agosti 14, 2026, katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar es Salaam.