A decade is more than ten years. It is thousands of dreams awakened, leaders inspired, communities transformed, and possibilities unlocked.
For ten remarkable years, Tanzania Bora Initiative has championed one simple but powerful belief:When young people lead, nations thrive.
From classrooms to communities, from civic engagement to the creative economy, from local action to regional influence we have witnessed young Tanzanians step forward with courage, integrity, and purpose.
Today, we celebrate not only our journey, but every young person, partner, mentor, volunteer, and supporter who has made this movement possible.
A Decade of Empowering Young Leaders in Tanzania
Develop Leaders. Create Jobs.
---------
Muongo mmoja ni zaidi ya miaka kumi. Ni maelfu ya ndoto zilizoamshwa, viongozi waliokuzwa, jamii zilizobadilika, na fursa zilizofunguliwa.
Kwa miaka kumi, Tanzania Bora Initiative imeamini jambo moja lenye nguvu:Vijana wakiongoza, taifa hustawi.
Kutoka madarasani hadi kwenye jamii, kutoka ushiriki wa kiraia hadi uchumi wa ubunifu, na kutoka hatua za ndani hadi ushawishi wa kikanda tumeshuhudia vijana wa Tanzania wakisimama kwa ujasiri, uadilifu, na dhamira ya kuleta mabadiliko.
Leo tunaadhimisha si miaka kumi pekee, bali watu wote walioifanya safari hii iwezekane vijana, washirika, walezi, wafanyakazi, na wadau wetu.
Muongo wa Kuwawezesha Viongozi Vijana Tanzania
Kujenga Viongozi. Kuchochea Ajira.
#TanzaniaBora #TBI10Years #Miaka10YaTBI #JengaViongozi #TengenezaAjira