Instagram story viewer> @officialsautiyaumma> Post
3 months ago
Co Creator: majakyara
UZINDUZI WA TAWI LA CHAMA ZNZ. Makam mwenyekiti Zanzibar Mhe. Satia Bebwa(wa kwanza Kushoto) akiwa na wanachama wapya wa chama Sauti ya umma (SAU) katika uzinduzi wa Tawi jipya la chama lililoko Kianga, wilaya ya Magharibi A, mkoa wa Mjini magharibi, Zanzibar. @satiamussabebwa @aliamourhaji @majakyara @
7
Posted On: July 26th 2026, 07:57 pm
UZINDUZI WA TAWI LA CHAMA ZNZ. Makam mwenyekiti Zanzibar Mhe. Satia Bebwa(wa kwanza Kushoto) akiwa na wanachama wapya wa chama Sauti ya umma (SAU) katika uzinduzi wa Tawi jipya la chama lililoko Kianga, wilaya ya Magharibi A, mkoa wa Mjini magharibi, Zanzibar. @satiamussabebwa @aliamourhaji @majakyara @
Comments (7)
_andytribe a month ago

_andytribe

Maryam Omar Said Malaya wewe hatujasahau kile ulichoambia Martha Karua. Tutapatana tu kona mbaya, Malaya Wewe, Kafirwe mkundu 🖕

majakyara 3 months ago

majakyara

Shime, shime wanachama wa Sauti ya Umma- SAU tuendelee kukijenga chama kwa Ari na nguvu kubwa. Kwa pamoja tutafika mbali

officialsautiyaumma 3 months ago

officialsautiyaumma

Kwa pamoja tutaijenga taasisi hii @officialsautiyaumma na kwa pamoja tutaijenga nchi yetu Tanzania 🇹🇿❤️

amourhaji5 3 months ago

amourhaji5

Niwapongeze tena viongozi wote wa kamati kuu kwa kunipa morari mkubwa wa kunisomesha jinsi gani ya kukitangaza chama na hii leo tunapambana tunaomba spot zenu zaidi asanteni hususani Katibu mkuu pongezi kwako mkuu

amourhaji5 3 months ago

amourhaji5

Kwa kweli ilikua siku ya kipekee kwa chama cheque cha SAU na ilikua ni siku ya furaha kutimiza azma yangu ya kuweka historia nikiwa kama katibu mkuu kufungua ofisi ya chama mkoa znz nikipata baraka zote kwa makamo wangu wa znz na viongozi wenzangu wa kamati ndogo ya znz nawapa hongera sana wanachama wapya kwa moyo wao wa kukichagua chama cha sau

husneyjumaa 3 months ago

husneyjumaa

Sau sauti ya umma.. chama chenye kujali changamoto za wananchi,chama imara,chama cha kuskiliza sauti za wanyonge🙏

simo_nbayyo 3 months ago

simo_nbayyo

Safari ya kujenga chama chetu kwa wivu mkubwa kimeanza

More posts

back to up