π₯π₯ MABIBI NA MABWANAβ¦ THE WAIT IS OVER! TUKUTANE ULINGONI! π₯
Hakuna tena kusubiri! Saa imewadia. MVUA YA MAWE imefika rasmi na leo Kendwa Rocks itakuwa nyumbani kwa mapambano makubwa ya ngumi yatakayowakutanisha mabondia mahiri kutoka sehemu mbalimbali. ππ½π₯
Kuanzia saa 12:00 jioni, pambano baada ya pambano litapanda ulingoni mpaka pambano kuu litakalowakutanisha Fadhili Majiha π Nassor Madiba. Usikose kuwa sehemu ya historia! π₯
π RATIBA YA MAPAMBANO
π 12:00 Jioni
π₯ Mustapha Shemkaa π Emanuel Robathi
π§ 12:30 Jioni
π₯ Karim Butu π Mohamed Sufian
π 1:00 Usiku
π₯ Juma Omar π Ismail Mbwana
π 1:30 Usiku
π₯ Adam Dach π Rajabu A. Rajabu
π 2:00 Usiku
π₯ Asha Hussein π Salma Juma
π 2:30 Usiku
π₯ Ashraf Suleyman π Mchumia Tumbo
π 3:00 Usiku
π₯ Saleh Kasim π Salum Kasifa
π 3:30 Usiku
π₯ Issa Mpepech π Sleman Mtumwa
π 4:00 Usiku
π₯ Khamis Magazet π Talent Jr
π 4:30 Usiku
π₯ Ali Mkojani π Hassan Salum
π 5:00 Usiku
π₯ Muller Jr π Karim Mandonga
π 5:30 Usiku β MAIN EVENT
π Fadhili Majiha π Nassor Madiba
π KENDWA BEACH HOTEL β ZANZIBAR
ποΈ TIKETI
π« General β TSh 20,000
β VIP β TSh 50,000
π Exclusive Table (Watu 8) β TSh 1,000,000
π TIKETI ZINAPATIKANA:
β’ Corner Cafe & BBQ β Amani
β’ Corner Cafe & BBQ β Paje
β’ Madoido Clothing Shop β Nungwi
π₯ ZANZIBAR HAKUNA MATATA, WAGENI MWAKARIBISHWA!
π€ WASHIRIKA & WADHAMINI
βοΈ
@assalaamairtzποΈ
@kendwarockszanzibarπ
@visit_zanzibarofficialβΎοΈ
@infinitydevelopmentsofficialπ
@btmz.zanzibarπ
@samiafoundationβ
@cornercafeandbbqπ Aventurine Company
#MvuayaMawe #ChadwickBoxingPromotion
#BoxingZanzibar #KendwaRocks #FightNight