3 months agoHeri ya Nane Nane Kampuni ya Smile Agriculture Verdant Company Limited inawapongeza wakulima wote na wadau wote wa kilimo nchini Tanzania kwa juhudi na mchango wao wa kila siku katika sekta ya kilimo.Tunatambua kazi zenu, ubunifu wenu, na dhamira yenu ya kulima kwa bidii ili kuhakikisha taifa linapata chakula cha kutosha na maendeleo endelevu.Kwa pamoja, tuendelee kulima kwa ufanisi, kutumia teknolojia bora, na kukuza kilimo chenye tija kwa vizazi vijavyo.Heri ya Nane Nane Njema!
