Instagram story viewer> @iaamediatz> Post
2 months ago
Co Creator: _real.kides
2
Posted On: August 21st 2026, 02:11 pm
Tagged Users:
Baada ya trending ya mchekeshaji @nanga og na @ireneuwoya8 kuvalishana pete katika safari ya kuelekea Dodoma kwenye Tamasha la miaka 30 ya bongo flava Irene uwoya apinga swala hilo na kusema ni utani kuvalishwa pete na mchekeshaji huyo.

Host: @therealkides
@reydimples

Ni ndani ya Infotainment kila siku Jumatatu - Ijumaa saa 15:00 - 16:00 Jioni LIVE on our #youtubechannel #iaamediatz #infotainment #iaatz.
Comments (2)
vivianeth08 2 months ago

vivianeth08

🔥🔥🔥🔥

jackline_mbawala15 2 months ago

jackline_mbawala15

Elimu ya afya ya akili inahitajika sana😂😂😂

More posts

back to up