Posted On: August 29th 2026, 06:34 pm
THERE’S ALWAYS A BIGGER PLANE
Maisha yetu kama wanadamu yametawaliwa na matamanio (au tunaweza kusema mahitaji). Matamanio haya kwa sehemu kubwa, ni yale ya kupata vitu vizuri, kuishi maisha mazuti ya kifahari. Lakini changamoto moja ipo katika hili. Rasilimali za kutuwezesha kupata tunayotamani ni chache. Na vilevile, hakuna anayeweza kupata kila kitu.
We are imperfect beings in an imperfect world and therefore, we can’t have it all. Kufuatia hili, tunapaswa kushukuru kwa tunachopata kwa moyo wa kuridhika. Tushukuru kwa vile tunavyokuwa navyo wakati tunaendelea kutafuta vingine.
Do not lament your flight just because you wanted to be on a larger plane. Simply enjoy the fact that you’re flying. Where you are, what you’re doing and what you have is someone else’s dream.
Happiness is a choice!
🎶 Fireworks and Thunder by
@nneloongram