Instagram story viewer> @vine_tanzania> Post
a month ago
Co Creator: frank_masanyiwa
10
Posted On: October 1st 2026, 09:53 am
Tagged Users:
JUMAPILI! JUMAPILI! Ni siku Bwana amefanya, tufurahi, tushangilie, tule, tunywe na tucheze mbele zake. Kama Huduma ya Vine tumeona uaminifu wake siku hadi siku, na kufika hapa tulipofika hakika ni mkono wa Bwana tu. Hakika tutalitukuza jina la Bwana Mungu wetu kwa namna ya kipekee.

Kama wewe ni mwanafamilia wa Vine usipitwe na hii. Na kama wewe ni rafiki wa huduma, basi usisite kuwasiliana na mwanafamilia mmoja ili kupewa card maalumu ya mwaliko.

Beba card yako ya mwaliko ujapo kwenye tukio hili. Vigezo na masharti vinazingatiwa.😁🤓 (Invitees Only)

Dress Code : Royalty colours kama zilizopo hapo kwenye tangazo. Bila kusahau kutakuwa na Red Carpet moment ya kusnap photos uzipendazo. Vaa pendeza, Njoo tufurahi mbele za Bwana.
Comments (10)
carloslucas_bigoppa a month ago

carloslucas_bigoppa

Nilipitwa vipi hapa😮

evodiaphilipo a month ago

evodiaphilipo

God bless you watu wa Mungu binafsi jana nili furahi sana

zeone_fashionstylist a month ago

zeone_fashionstylist

🔥 I can't wait!

son_of_revelation_26 a month ago

son_of_revelation_26

It’s time to rejoice in the Lord

frank_masanyiwa a month ago

frank_masanyiwa

🙌🔥🔥 Hata sasa Bwana ni Eben-ezer

More posts

back to up