Posted On: October 1st 2026, 07:57 pm
Hii ndio collabo kubwa ambayo haijawahi kutokea kwenye muziki wa Hip Hop na Bongo Flava Kwa ujumla miaka kadhaa nyuma iliyopita.
#TBT Ngoma yake Afande Sele inaitwa Mtazamo
Usicho kijua ngoma hii imetengenezea na Producer
#Majani pale
#Bongo Records
Unafahamu kuwa ngoma hii beat yake alikuwa apewe msanii
@jafarai na Ngoma yake
#Nipobize Tumepiga stori na Afande Sele amefunguka mengi kuhusu ngoma hii hapa ya
#MtazamoMwaka 2004 ndio Ngoma ilitoka tuambie ulikuwa wapi miaka hiyo?