Instagram story viewer> @nyumbanimarketing> Post
2 months ago
Co Creator: giddyjobs__
2
Posted On: September 10th 2026, 05:26 pm
Tagged Users:
Business Amnesia ni ugonjwa ambao unasumbua Biashara nyingi sana unaopelekea wateja kukusahau mara tu mnapomaliza Biashara

Dalili zake ni:

- Mteja anasahau jina lako au la Biashara yako
- Anapoteza number zakoo au hakumbuki amekusave vipi
- Biashara yako inasahauluka mara tu baada ya kumaliza kikao…

So dawa yakumpatia inaitwa “Business Card” matumizi yake ni kuwapitia tu wateja wako.. Hivyo watabaki na kumbukumbu ya

- Jina lako
- Jina la Biashara
- Namba za simu,email
- Huduma zako
- Socialmedia hata picha

So kama na wewe unataka kuondokana kabisa na changamoto hii ya Wateja kukusahau basi Businesscards zitamfanya wateja wakukumbuke siku zote…

Usiache kumfollow @giddyjobs__kwaajili ya afya na ukuaji wa Biashara yako.
Comments (2)
phine_inspires 2 months ago

phine_inspires

Mnatengeneza business cards Daktari??

More posts

back to up