Posted On: September 12th 2026, 01:56 pm
Tarehe 3-4 septemba 2026 nilipata bahati ya kushiriki mafunzo yaliyoandaliwa na Climate hub Tz yaliyolenga kuleta solutions ya changamoto tunazokumbana nazo katika mazingira kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi.Yalikua miongoni mwa mafunzo bora ambayo nmewah kuhudhuria kuhusu climate , Nlijiunga na kundi tulilojiita Foodloop tukitengeneza solution ya kugeuza taka kuwa malighafi. Pia kulikua na ushindani kundi litakalofanya vizuri wataondoka na zawadi, tulikua mshindi wa Tatu kutokana na Idea yetu, Tukapewa zawadi ambayo itasaidia kwenye hatua za mwanzo za kutekeleza wazo au mradi ambao tuliupendekeza. Shukrani nyingi kwa
@climatehubtz na
@globalclimathon kwa kunichagua kuwa miongoni mwa washiriki