a month agoMada wazipendazo wanaume sasa 😢😢😢uyu msimualike tena jamani anatuchanganya
2 months agoMama mkwe anachekelea mwenyewe anasema kimoyo moyo shekh katupa jiwe gizani😂😂
2 months agoUnaka na mke mmoja kwani mama ako huyo😂😂...hata umfanyie mazuri mangapi mwanamke abadan hatokuja kukushukuru ukitaka uamini siku asikie umelala na mwanamke mwingine hayo yote aliyofanya mondi yataekwa pembeni litajadiliwa la kutembea na mwanamke mwingine Hawa watu hawana ihsani we owa ata wanne kama hela unayo basii Hawa Mbwa sio viumbe😂
