Posted On: September 13th 2026, 07:54 pm
Mbona imegeuka kama ajenda? Jamaani kwani kutoa pole kwa mfiwa ni lazima? Mbona kama mnalazimisha mambo saana jamaani? Nani alitoa pole kwa watanganyika waliouwawa tarehe 29? Mbona kama watu wanaforce saana mambo? Mh Mwenyekiti alisema wape pole wafiwa hata bi mdogo naye ni mfiwa mbona inag3uzwa kuwa ajenda? Mnatuchosha bwana hoja hamna mnatapatapa tu tuambie Dr Nchimbi yumo wapi? Achaneni na propaganda za kulazimisha kupewa pole buana wee