13 days agoFact kabisa chuo kuna uhuru sana na feki life na tamaaa za muda mfupi uko sahihi sana and big up
16 days agokuna mimi hapa hata sikuelewii navyopendaa kuvuta shisha uniambii kitu manzee
17 days agoUshauri mzuri sana dada umewapa vijana wenzako,MUNGU akubariki sana!!
