Instagram story viewer> @stanbicbiasharaincubator> Post
2 months ago
Co Creator: ksm_organic
0
Posted On: September 15th 2026, 10:41 am
Tagged Users:
Kupata ujuzi sahihi na fursa za kifedha ndio msingi wa kujenga biashara endelevu na yenye tija.

Kama mhitimu wa Stanbic Biashara Incubator, Edward Jackob Mkurugenzi Mtendaji wa @ksm_organic (Kilimo Sustainable Movement) anashiriki ushuhuda wa jinsi programu ya Biashara na Ajira Kijani (BAK) ilivyomsaidia kutambua maeneo ya kuboresha kwenye biashara yake ya utengenezaji wa mbolea hai, pamoja na kufungua milango ya ushirikiano na taasisi za kifedha.

"Ukiwa na mafunzo na ujuzi sahihi, unaweza kuendesha biashara yako na ikafanikiwa. Kushirikiana na taasisi za kifedha kama Stanbic Bank kunasaidia kuweka mifumo mizuri ya kifedha na kupata mikopo ya kuisukuma biashara mbele."

Tunajivunia kuona wajasiriamali vijana wakiongoza mabadiliko katika kilimo endelevu na kufungua njia kwa wengine kwenye sekta ya kijani!

👇 Acha comment kumpongeza Edward kwa hatua hii kubwa na mchango wake katika kilimo endelevu!

#StanbicBiasharaIncubator #BiasharaNaAjiraKijani #UchumiWaKijani #UjasiriamaliTanzania #KilimoEndelevu

More posts

back to up