Posted On: September 19th 2026, 09:04 pm
HAPPY BIRTHDAY TO ME
MARRY INNOCENT
Today is not just about celebrating my birthday, but celebrating the grace, love, and faithfulness of God in my life.
Leo namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai.
Nimepitia njia ambazo bila Mungu, nisingekuwa hapa leo. Kuna mambo nimeyapitia ambayo si kila mtu anayajua, lakini Mungu alikuwepo katika kila hatua. Even when I felt weak, His grace carried me through.
I am not here because life has been easy, but because God’s grace has been sufficient.
Ninapoanza mwaka mwingine wa maisha yangu, moyo wangu umejaa shukrani. Thank You, Lord, for every lesson, every opportunity, every closed door, and every new beginning.
Mungu wangu, naomba uniongoze katika mwaka huu mpya. Nipe hekima, amani, nguvu, na moyo wa kuendelea kukuamini hata
nisipoelewa kila kitu.
Mv life is a tectimony of God’e arcade of God’s grace. My story is not over yet, and I believe the best chapters are still ahead.
Happy Birthday to me! Cheers to another year of growth, purpose, faith, and beautiful beginnings.
#happy #birthdaygirl📸:
@chizimapicha 💄 :
@nonoglams Load More