Posted On: September 22nd 2026, 02:16 pm
Mkubwa
@gersonmsigwa kuna SWALI na ushauri kutoka kwa mama Asha Baraka
Asha Baraka (@ashabarakaironlady) naweza kumuita mlezi wa muziki wa dansi, ingekuwa ngumu kumzungumza TX Moshi na Msondo Ngoma bila neno lake
Simulizi hii ya TX MOSHI ipo pale youtube channel ya IKUMBUKWE, kwa unyenyekevu mkubwa tunakuomba pia usisahau ku SUBSCRIBE ili uwe mwanafamilia wa IKUMBUKWE
#IKUMBUKWE #TXMOSHITX MOSHI alimpeleka mtoto wake Hassan (@tx_moshi_junior) kwa Asha baraka ili kumuongezea uwezo wa muziki
Ikumbukwe wakati huo tayari Mzee TX alikuwa ameshapata ajali, alikuwa anampeleka na kumrudisha Hassan Moshi, akiwa bado anauguza mguu wake
Load More