Sheikh ubwabwa
shekh kanzu imekaa mahala pake😂 kumbe mwili wa kanzu unao🙌
Shekhe @fanleck_ sema jambo Dadaako nipo hapa 😂
Baraka nyingi🙌🙌🙌🔥📌
Hio kofia nyeusi ndio yako sasa tunayoijua😅
Ingawa umegoma kuachiwa kijiti😂
Allahuma Ameen kaka🙏🏽🫡
Shaikh wangu nimekosa mwaliko, nipate ha Suna😂🙌