Instagram story viewer> @daruso_udbs> Post
12 days ago
Co Creator: udiaa_udsm udhrma_
1
Posted On: October 24th 2026, 08:09 am
Hiyoooo liniii hiyoooooo🔊🔊🔊

Hiyo ni Alhamisi ya tar 22 mwezi huuu wa kumi.🔥🔥🔥

Siku iliyo wakutanisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza mwaka 2026/2027 pale yombo 1📍, kukutana na uongozi wa shule kuu ya biashara (UDBS) pamoja na wakuu wa idara zote hapa UDBS pia bila kusahau viongozi wa Associations pamoja na viongozi wa Daruso UDBS

An enjoyable moment kuwawezesha hao kupata ufahamu wa uongozi wote kutoka katika ndaki na pamoja kushirikiana vyema na wanafunzi wenzake.

All Frshers karibuni UDBS 🔥🔥
Karibuni Capital city ya UDSM🔥🔥
#capitalcity #darusoudbs #udbs #udbsfamily
Comments (1)
udsm_tax_association_udta 12 days ago

More posts

back to up