Instagram story viewer> @chuggavoiceofjustice> Post
11 days ago
Co Creator: pfd_01 saudia_arabia13 akari_80 preacher.marcus mr_wolf_life_2
🚨 WAMUACHIE TWAHA MWAIBAYA!

Tunatoa wito wa dharura kwa mamlaka husika nchini Kenya kuhakikisha usalama wa Twaha Mwaibaya, kuchunguza taarifa za kutekwa kwake na kuchukua hatua za kisheria ili ukweli ujulikane.

Tunaziomba serikali za Tanzania na Kenya, vyombo vya haki za binadamu na jamii ya kimataifa kufuatilia suala hili kwa karibu na kuhakikisha haki zake zinalindwa.

KUDAI HAKI SI KOSA!

Tumechoka kuona watu wakipotea kwa sababu ya kudai haki. Tunataka ukweli, haki na usalama kwa kila mtu.

HATUA INAHITAJIKA SASA:

Vyombo husika vifanye uchunguzi wa haraka na wa haki.

Mahali alipo Twaha pajulikane na usalama wake uhakikishwe.

Ikiwa anazuiliwa, sheria ifuatwe na haki zake ziheshimiwe.

Tafadhali sambaza ujumbe huu na tumia taarifa zilizothibitishwa kuisaidia familia yake kupata majibu.

#FreeTwahaMwaipaya #JusticeForTwaha #HumanRights #Tanzania #Kenya
278
Posted On: October 25th 2026, 01:45 pm

Comments (278)
mar.tina4405 a day ago

mar.tina4405

Free Twaha #Ruto acha kutumika kama condom

uhurutorch 6 days ago

uhurutorch

Samia na Kikwete mnaoteka. Tarehe 25 Oct, Twaha Mwaipaya ametekwa Kamulu - magari 3, Land Cruiser. Mfumo ni ule ule. Kikwete aliujenga, Samia anaendesha. Utekaji, mateso, mauaji ya vijana. Twaha aliwataja wote - Samia, mtandao wake wa TISS na mwanae Abdul Hafidh Ameir anayetuhumiwa kuendesha militia za kutunyamazisha wakosoaji. Mlimfunga 2022, akakimbia Kenya. Sasa mmemfuata hadi Machakos. Hamtatuweza sote. #FreeTwahaMwaipaya

😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢TUMEKATAA MARIDHIANO NA WAUWAJI WA WATU WETU .TUMEAAPA KAMWE HATUTAKAA MEZA MOJA NA WAUWAJI SAMIA NA GENGE LAKE LA MAUWAJI TUMEMKATAA 😢😢😢😢😢😢FREE POLEPOLE FREE NYAGALI FREE SOKA FREE TUNDULISU FREE

najmah6895 8 days ago

najmah6895

Free twaha 😢

robby_00002 9 days ago

robby_00002

Ata akifa Hana asara

hadija2563 10 days ago

hadija2563

Mushaanza kujuteka ili muandamane

Load More

More posts

back to up