Instagram story viewer> @di_osborn_> Post
11 days ago
Co Creator: petro_damian7 fefe_charming3 andrew_sipuka heavenlysenttz
6
Posted On: October 25th 2026, 09:36 pm
Once mama Pt said kuomba ni kazi lakin maombi yanafanya kazi. It’s true kabisa. Bwana ni ngao yetu na maombi ndio silaha yetu, na kazi kubwa ya shetani ni kusababisha una poteza focus na kupotea kwasababu hawezi kukuzuia wewe.

Shetani ana tumia silaha ya circle yako yaani marafiki zako na hamii inayo kunzunguka,kuhakisha wana kushawishi kwenye kila jambo ili uweze kufeli,maandiko yana sema 1 Wakorintho 15:33 Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema. Be not deceived: evil communications corrupt good manners.

34 Tumieni akili kama ipasavyo, wala msitende dhambi; kwa maana wengine hawamjui Mungu. Ninanena hayo niwafedheheshe. Mwili wa Ufufuo Awake to righteousness, and sin not; for some have not the knowledge of God: I speak this to your shame.

Lakini pia maandiko Matakatifu yanasema “Enendeni, angalieni, nawatuma kama wana kondoo kati ya mbwa-mwitu.”-‭‭Luka 10‬:‭3‬ ‭SUV‬‬

Yesu na Mtume paulo wana tupa taadhari ya namna ya kuenenda katika dunia hii na system hizi za duniani.

Kama vijana na Gen Z,sisi ndio main target kwasababu tunazo nguvu za kumshinda mwovu (2 Yohana 2:14) kwahiyo watu wa duniani wana hakikisha wana tuonesha kwamba kushiriki ibada na kutoa mafungu ya kumi na limbuko ni ulimbukeni.

Na hapa Mtumishi wa Mungu @pastortonyosborn ana tufundisha njia za kutembea kwenye mifumo ya dunia hii.

Kuelewa haya tembelea YouTube @pastortonyministries ibada ya Battle of System part 12 kuelewa Kwanini Mtumishi wa Mungu ameyasema haya.

@petro_damian7
@iamheavenlysent_
@fefe_charming3
@andrew_sipuka

#makingjesusfamous #sisiniwaletunaosaidiwanabwana🙏💯✔️ #theosborns #twendekanisani
Comments (6)
nah.nancy_ 4 days ago

nah.nancy_

Hii haina comeback 😂

elly_gamba 10 days ago

elly_gamba

Wakumalizie kabisaa😂😂😂😂

fefe_charming3 11 days ago

fefe_charming3

Gudubai ✈️

christian_street_wear_ 11 days ago
mkinakim_ 11 days ago

mkinakim_

😂😂😂

More posts

back to up