9 days agoHabari ndugu! Asante sana kwa kazi nzuri na ubunifu wako mkubwa kwenye maudhui ya Sifa Gospel Fest. โTunakukaribisha rasmi kwenye Kilele cha Sifa Gospel Fest Dar es Salaam na kukukabidhi VIP Card maalum ya kukaa eneo la VIP kama shukrani kwa mchango wako! โTafadhali wasiliana na Admin wetu kupitia 0723778993 ili kuchukua kadi yako mapema. Karibu sana tusifu na kuabudu pamoja! ๐๐ฅ @callmehmaker
