Posted On: October 26th 2026, 01:41 pm
Kutoka kutwaa tuzo za EAEA hadi kuwania tuzo kubwa za MMVAA nchini Nigeria! ๐น๐ฟ๐ณ๐ฌ๐
@mopa_lee1 anaendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa! ๐น๐ฟ Ushindi wa EAEA ni mwanzo tu, sasa macho yote yanaelekezwa Nigeria kwa hatua nyingine kubwa ya mafanikio. ๐ฏโจ
Je, tuzo nyingine inakuja nyumbani? ๐๐
Tanzania tupo pamoja nawe, Mopa Lee! โค๏ธ๐น๐ฟ
โ๏ธ
@monnyhimself_tzCc
@mataitaz_#MopaLee #MMVAA #EAEA #TanzaniaToTheWorld #EastAfricaToTheWorld AfricanTalent ๐๐ฅ
Load More