21 days agoHappy Successful! Nakutakia mafanikio yenye baraka, hekima na neema ya Mungu katika kila jambo unalolifanya; milango ya fursa ikufungukie, juhudi zako zizae matunda, na moyo wako usikose amani wala tumaini. Kumbuka, mafanikio ya kweli si kufika mbali tu, bali ni kufika mbali bila kumpoteza Mungu, maadili yako na kusudi la maisha yako.
