Posted On: October 10th 2026, 10:59 am
🧠💚 WORLD MENTAL HEALTH DAY | SIKU YA AFYA YA AKILI DUNIANI
Afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili. 💚
Si kila anayetamani kutabasamu anajisikia vizuri ndani. Wakati mwingine, tunahitaji kusikilizwa, kueleweka na kupewa nafasi ya kuwa sisi wenyewe bila kuhukumiwa.
✨ Kumbuka: Si lazima uwe na majibu ya kila kitu leo. Ni sawa kuomba msaada, kupumzika na kuzungumza kuhusu unavyojisikia.
Leo na kila siku, tuendelee kuvunja unyanyapaa kuhusu afya ya akili na kujenga jamii inayosikiliza, inaelewa na kuunga mkono kila mmoja.
Mental health matters. You matter. Your feelings matter. Your well-being matters. 💚🧠
#WorldMentalHealthDay #MentalHealthMatters #BreakTheStigma #MentalWellbeing